- Nchi:
Tanzania, United Republic Of
- Tarehe: 2017-03-05
Nimefurahi sana kuona hili shindano lenu,kwanza ni njia nzuri kwenu kujitangaza zaidi na kuongeza wigo mkubwa wa kupata wateja wengi zaidi kupitia bahati na sibu yenu. Pili mmetoa nafasi kwetu kutimiza ndoto zetu kumiliki gari kupitia Car from Japan,ni jambo jema kwasababu mnarudisha faida yenu kwa wateja wenu,inaonyesha ni jinsi gani mnajali wateja wenu na kutuhamasisha hata sisi kuwa wateja wenu wapya na kuwa na familia kubwa zaidi Duniani.
Nchini kwetu Tanzania zaidi ya asilimia 80 tunatumia magari toka Japan,tena wengi wakitumia Japanese used car,kwasababu ni za gharama ambazo wengi wanaweza mudu,pili ni rahisi kuzihudumia kwa maana ya matengenezo pindi ninapotokea hitilafu yeyote.
Mimi ni mtu sahihi kwenu kuwa Balozi wenu kwasababu nimekuwa muhamasishaji mzuri wa hili shindano lenu,pili nikipata zawadi hii,nitazidi watanga zaidi,na sasa nipo mbioni kufungua Law Firm yetu ambayo tutakuwa watumia wa Japanese used car,hata pale mtaji wetu ukikuwa tutakuwa mabalozzi wenu kwa kuanzisha biashara ya kuuza magari katika mko wetu wa Dodoma na sasa unaenda kuwa moja ya mikoa itakayokuwa na mzunguko mzuri wa pesa,kwasababu Serikali yetu ya Tanzania imeamua kuhamia Dodoma basi tutaenda kufanya biashara nzuri kwa ushirikaono na nyinyi Car from Japan.
nawashukuru sana na kuwapongeza kwa kuja na wazo uri sana,na moja kwa moja mmetupa nafasi ya kuwa Mabaloi wenu wazuri ndani na nje ya nchi zetu.Asanteni sana kwa kutupa nafasi ya kuwa mabalozi wenu na kupitia fursa hii mmeweza kuamsha ndoto nyingi a watu wa rika zote na kuongeza chachu aidi kuwa kila jambo linawezekana.
Mimi naamini nakwenda kujishindia gari ya ndoto yangu ambayo itanisaidi kurahisisha shughuli zangu.
Kufadhiliwa na

- CAR FROM JAPAN CO., LTD.
- Toujiki Building 7F, 3-10-7 Iwamotocho, Chiyoda,
- Tokyo, JAPAN 101-0032
- +81 50 3171 3983
- +81 3 6735 4633
- www.carfromjapan.com
- ask@carfromjapan.com
Masaa ya Biashara
- Jumatatu- Ijumaa: 9am-6pm
- Likizo: Jumamosi na Jumapili, likizo ya Kijapani
Kampuni yetu
CAR FROM JAPAN ni bidhaa kutoka CAR FROM JAPAN CO., LTD.
Tunakuwezesha kupata maelfu ya magari yaliyotumika kutoka Japani moja kwa moja na kwa urahisi kwa bei nafuu.
Tunaaminika na mamia ya wasafishija wamagari yaliyotumika ya Kijapani wakubwa walio na magari mingi zaidi kwa bei inayoweza kupunguzwa. Tutakufanyia kazi yote ya makaratasi, kuhakikisha malipo yako ni salama na upate kenye umelipia ikiwa hali nzuri.
Malipo salama.Hakuna gharama iliyofichika. Amani halisi ya akili.
Tunakufanyia kazi- Mnunuzi, na wala si mwuuzaji. Tutatoa malipo kwa mwuuzaji tu iwapo gari limesafirishwa kwako. Na tunafanya bidii kuhakikisha kwamba gari limetumwa kwako kwa usalama na haraka. Iwapo gari halijasafirishwa kwako, utapata malipo yako 100%.
Timu ya kimataifa inayoweza kukufanya kuhisi ni kama unafanya biashara na wenyeji.
Katika CAR FROM JAPAN, tuna fahari sana na timu yetu ya kimishenari na tamaduni. Tunaishi katika majira tofauti na tunaweza kuongea lugha tofauti. Kama mteja huwezi pata matatizo yoyote kuwasiliana nasi. Daima kutakuwa na mtu ambaye anaongea lugha yako na hata anakaa mahali fulani karibu na wewe!
Kila muundo. Kila mfano. kila bei. tumezishughulikia zote.
Tuna mkusanyiko mmoja kubwa ya magari unayoweza kupata kwenye tovuti. Na tunazidi kupanua kwingineko, kuifanya kubwa na kwa haraka, kila siku. Bei nafuu. Enda kwenye ukurasa la orodha na ujiangalilie wewe nwenyewe.