- Nchi:
Kenya
- Tarehe: 2018-01-16
Tu as vu Monsieur Muoki ? – Non
Have you seen Mr. Muoki ? – No
Umemuona Bwana Muiki ? – Hapana
Non alcoolise (FEM non alcoolisée) ADJECTIVE
Non-alcoholic
Siolevya
Les boissons non alcoolisées
Non-alcoholic drinks
Vinywaji visivyolevya
Non-fumeur MASC NOUN
Non-smoker
Asiyevuta sigara
Moise est un non-fumeur
Moses is a non-smoker
Musa havuti sigara.
Nord MASC NOUN
north
Kaskazini
Ils vivent dans le nord de l’ile
They live in the north of the Island.
Wanaishi kaskazini mwa kisiwa hicho.
Nord-est MASC NOUN
North-east
Kaskazini mashariki
Les régions du nord-est
The north-eastern regions.
Maeneo ya Kaskazini Mashariki
Nord-ouest MASC NOUN
North-west
Kaskazini magharibi
L’Europe du nord-ouest
North-west Europe
Kaskazini magharibi mwa Ulaya.
Normal (FEM normale, MASCPL normaux) ADJECTIVE
Normal
-a kawaida
C’était un evenement normal
It was a normal occurrence
Lilikuwa tukio la kawaida
Normalement ADVERB
Normally
Kwa kawaida ; kama kawaida
Normalement, il arrive au travail a 8 heures le matin.
Normaly, he arrives at work at 8 :00am in the morning.
Kwa kawaida, yeye hufika kazini saa mbili.
Norvege FEM NOUN
Norway
Norwe
Nos PL ADJECTIVE
Our
-etu
Ou sont nos livres ?
Where are our books ?
Vitabu vyetu viko wapi ?
Notaire MASC NOUN
Solicitor
Mwanasheria ; wakili
Son père est notaire
His father is a solicitor.
Baba yake ni mwanasheria.
Note FEM NOUN
Note
Matini
Les eleves ecrivent des notes.
The pupils are writing notes.
Wanafunzi wanaandika matini.Mark
Alama ; maksi
Zeliq a de bonnes notes en maths.
Zeliq got good marks in maths.
Zeliq alipata alama nzuri katika hisabati.Bill
Bili
Il paye sa note.
He’s paying his bill.
Analipa bili yake.
Noter VERB
To note
Rekodi ; andika
Tu as note mon adresse ?
Have you nted my address ?
Je, umerokodi anwani yangu ?
Notre (FEM notre, PL nos) ADJECTIVE
our
-etu
Notre classe.
Our class.
Darasa letu
Nouer VERB
To tie
Funga
Nouilles FEM PL NOUN
Noodles
Nudo ; chakula aina ya tambi
Nounours MASC NOUN
Teddy bear
Mwansesere wa dubu
Nourrir VERB
To feed
Lisha
Nourriture
Food
Chakula
Nous PL PRONOUN
We, us
Sisi
Nous aimons le français.
We like French.
Tunapenda Kifaransa.
Nouveau (MASC SING ALSO nouvel, FEM nouvelle, MASC PL nouveaux) ADJECTIVE
-pya
Mon père a une nouvelle voiture.
My father has a new car.
Baba yangu ana gari jipya.
Le nouvel an new year mwaka mpya
Nouveau (PL les nouveaux) MASC NOUN
New pupil
Mwanafunzi mgeni
Il y a PLusieurs nouveaux dans la classe.
There are several new pupils in the class.
Kuna wanafunzi kadhaa wageni kwenye darasa.
Nouveau-né MASC NOUN
Newborn child
Mtoto aliyezaliwa karibuni
Nouveauté FEM NOUN
Novelty
Upya ; ugeni ; kitu kipya ; shani
Nouvelle FEM NOUN
News
Habari ; taarifaShort story
Hadithi fupi
Nouvelle-Zelande FEM NOUN
New Zealand
Nyuzilandi
Novembre MASC NOUN
November
Novemba
Noyau (PL les noyaux) MASC NOUN
Stone (of fruit)
Kokwa ; koko
Un noyau d’abricot
An apricot stone
Kokawa ya aprikoti
Se noyer VERB
To drown
-fa maji
Il s’est noyé dans la rivière
He drowned in the river.
Alikufa maji kwenye mto huo.
Nu (FEM nue) ADJECTIVE
Naked
Uchi; tupu
Ils se sont baignes nus.
They went for a swim naked.
Walienda kuogelea wakiwa uchi.
Nauge MASC NOUN
Cloud
Wingu
Naugeaux (FEM naugeuse) ADJECTIVE
Cloudy
-enye mawingu
C’est un jour nuageaux
It’s a cloudy day.
Ni siku yenye mawingu.
Nucleaire (FEM nucleaire) ADJECTIVE
nuclear
-a nyuklia
L’energie nucleaire.
Nuclear energy.
Nishat ya nyuklia.
Nudist MASC/FEM NOUN
Nudist
Mtu anayependa kukaa uchi; anayeamini kuwa kukaa uchi juani na katika upepo/hewa huleta afya bora.
Nuit FEM NOUN
Night
Usike
Bonne nuit!
Good night!
Usiku mwema!
Nuk (FEM nulle) ADJECTIVE
Rubbish
Upuuzi; upuzi
Ce film est nul (informal)
This film is rubbish.
Filamu hii ni upuuzi mtupu.
Numéro MASC NOUN
Number
Nambari
Numéro de téléphone
Telephone number
Nambari ya simu
Nu-pieds (FEM + PL nu-pieds) ADJECTIVE, ADVERB
Barefoot
Pekupeku ; bila ya viatu ; nyayo chini
Il se promenait nu-pieds
He was walking barefoot.
Alikuwa akitembea pekupeku.
Nuque FEM NOUN
Nape of the neck
Kikosi
Nylon MASC NOUN
Nylon
Nailoni
O o
Obeir VERB
To obey
Tii; fuata amri; fanya ilivyoambiwa
Il refuse d’obéir à ses professeurs.
He refuses to obey his teachers.
Anakataa kuwaheshimu walimu wale.
Obeissant (FEM obeissante) ADJECTIVE
Obedient
Tiifu; sikivu
Un enfant obeissant
An obedient child
Mtoto mtiifu
Object MASC NOUN
Object
Kitu
Obligatoire (FEM obligatoire) ADJECTIVE
Compulsory
-a lazima ; -a sharti
Les mathématiques est une matière obligatoire.
Mathematics is a compulsory subject.
Hisabati ni somo la lazima.
Obliger VERB
Oblige ; force
Lazimisha ; taka mtu aahidi ; afanye jambo
Obscur (FEM obscure) ADJECTIVE
Onscure ; dark
-a giza ; -sioonekana vizuri
Cave obscure
Dark cave
Pango lenye giza
Obscurite FEM NOUN
Darkness
Giza; kiza
Dans l’obscurite
In the dark
Kwenye giza
Observation FEM NOUN
Comment
Maoni; wazo; fikra; fasiri
Observer VERB
To watch
Tazama
Il observait les buffles dans le pare.
He was watching the buffaloes in the park.
Alikuwa akitazama nyati kwenye mbuga hiyo.To observe
a. Angalia kwa makini; chunguza; hoji
b. Funta; shika kanuni
Ils observant le reglement
They oberve the rules
Wanafuata kanuni zilizowekwa
Obstacle MASC NOUN
Obstacle
Kizuizi; kikwazo
Obstiné (FEM obstinée) ADJECTIVE
stubborn
Kaidi ; bishi ; kinzani ; katavu
Un enfant obstine.
A stubborn child
Mtoto mkaidi
Obtenir VERB
To get ; to obtain
Pata
Ils ont obtenu soixante pour cent des voix
They got 60% of the votes
Walipata asilimia 60 ya kura hizo
Occassion FEM NOUN
Opportunity ; occasion
Nafasi ; fursa ; abra
C’est une occasion à ne pas manquer.
It’s an opportunity not to be missed.
Ni fursa ya kutokosa.
Occident MASC NOUN
West
Ulaya na Amerika; Ulaya Magharibi na Bara
Occidental (FEM occidentale) MASC PL occidentaux ADJECTIVE
Western
-a magharibi ; -a upande wa magharibi
Les pays occidentaux
The west
Nchi za magharibi
Occupation FEM NOUN
Occupation
Shughuli; kazi; biashara
Occupe (FEM occupee) ADJECTIVE
b
Kufadhiliwa na

- CAR FROM JAPAN CO., LTD.
- Toujiki Building 7F, 3-10-7 Iwamotocho, Chiyoda,
- Tokyo, JAPAN 101-0032
- +81 50 3171 3983
- +81 3 6735 4633
- www.carfromjapan.com
- ask@carfromjapan.com
Masaa ya Biashara
- Jumatatu- Ijumaa: 9am-6pm
- Likizo: Jumamosi na Jumapili, likizo ya Kijapani
Kampuni yetu
CAR FROM JAPAN ni bidhaa kutoka CAR FROM JAPAN CO., LTD.
Tunakuwezesha kupata maelfu ya magari yaliyotumika kutoka Japani moja kwa moja na kwa urahisi kwa bei nafuu.
Tunaaminika na mamia ya wasafishija wamagari yaliyotumika ya Kijapani wakubwa walio na magari mingi zaidi kwa bei inayoweza kupunguzwa. Tutakufanyia kazi yote ya makaratasi, kuhakikisha malipo yako ni salama na upate kenye umelipia ikiwa hali nzuri.
Malipo salama.Hakuna gharama iliyofichika. Amani halisi ya akili.
Tunakufanyia kazi- Mnunuzi, na wala si mwuuzaji. Tutatoa malipo kwa mwuuzaji tu iwapo gari limesafirishwa kwako. Na tunafanya bidii kuhakikisha kwamba gari limetumwa kwako kwa usalama na haraka. Iwapo gari halijasafirishwa kwako, utapata malipo yako 100%.
Timu ya kimataifa inayoweza kukufanya kuhisi ni kama unafanya biashara na wenyeji.
Katika CAR FROM JAPAN, tuna fahari sana na timu yetu ya kimishenari na tamaduni. Tunaishi katika majira tofauti na tunaweza kuongea lugha tofauti. Kama mteja huwezi pata matatizo yoyote kuwasiliana nasi. Daima kutakuwa na mtu ambaye anaongea lugha yako na hata anakaa mahali fulani karibu na wewe!
Kila muundo. Kila mfano. kila bei. tumezishughulikia zote.
Tuna mkusanyiko mmoja kubwa ya magari unayoweza kupata kwenye tovuti. Na tunazidi kupanua kwingineko, kuifanya kubwa na kwa haraka, kila siku. Bei nafuu. Enda kwenye ukurasa la orodha na ujiangalilie wewe nwenyewe.