• Pays: Tanzania, United Republic Of
  • Date: 2017-06-12

Napenda kumshukuru Mungu kwanipa pumzi na Afya njema, nakuniwezesha kushiriki katika shindano hili la CAR FROM JAPAN. Pia napenda kuishukuru kampuni ya CAR FROM JAPAN kwakutambua changamoto ambazo zinazikabiri Nchi nyingi hususa za Afrika. Niwazi kwamba Nchi nyingi za Afrika zinakabiriwa na tatizo kuwa la usafiri. Nashukuru sana Japanese used car kwakuliona hili kuwa ni tatizo nakulichukua kama nichangamoto nakuamua kusaidia kutatua hili tatizo. Kupitia Japanese used car ninaimani nanimatumaini yangu kwamba tatizo hili litatatulika,Pia ninafuraha kubwa kuona Japanese used car wameanzisha shindano hili ambalo litasaidia kupunguza kelo ya usafiri katika Nchi nyingi za Afrika hasa katika maeneo ya vijini kwani tatizo hili nikubwa , Nchi nyingi za Afrika hasa vijijini watu wamekua wakipata shida sana kwenye swala la usafiri mfano kukosekana kwa usafiri wa uhakika wakina mama wajawazito wamekua wakipatashida wengine wanajifungulia njiani wengine wanapoteza maisha njiani kwakukosa usafiri , wanafunzi wanatembea umbali mrefu kwenda shule wengine wanaishia kuwa watoro hvyo kusababisha kupata kindi ambalo badae linakua tegemezi.Ninaimani kwamba kupitia Japanese used car itasaidia sana kuboresha nakuatua changamoto hii. Nimatumani yangu nitaibuka mshindi wa gari kutoka Japanese used car nanitaipeperusha Bendera yangu ya Tanzania vyema kabisa nakujenga uhusiano nzuri Kati ya Tanzania na Japan . Kupitia ushindi huu nitakaoupata nitaitangaza vyema kmpuni yenu ya Japanese used car kuwa nimagari mazur, magari yenye ubora , magari yakisasa , Nimagari ambayo yanayoenda na wakati . Nindoto yangu kuaitatimia . ninaomba kupitia shindano hili la magari Japanese used car nitapata ushindi nakumiliki gari yangu mwenyewe kwani ninatamani sana.Ninsomba Kampuni ya CAR FROM JAPAN iweze kunichagua namiwe mmoja wawashindi hao. Pia namuomba Mwenyezi Mungu anisaidie niweze kua mshindi mana ninapenda sana kumiliki gari langu . Endapo nikishinda Nitafurahi sana na nitawashukuru sana Japanese used car kwani mtakua umershisisha kazizangu kwasababu nilikua nakwenda umbali mrefu shamba usafiri wa shinda nachekewa kufanya shuguri zangu. Nilipoona tangazo hili kiukweli nilifalijika sana moyoni mwangu nikaona niitumie fursa hii japo watu wengi wslinibeza nakunikatisha tamaa lakini kwaimani kubwa nikaamua kushindana. Hvyo basi ninamatumaini sana kuwa nitapata ushindi mkubwa manitashinda gari kutoka Japanese used car. . Kupitia shindano hili ninaimani litanifunza mengi nakunijenga sana naimani nitapaelimu nakuwaelimisha wengine kuhusu magari mazur kutoka Japanese used car . Nimagari yanayosaidia sana katika maisha yakila siku . nitawashawishi watu wanunue magari kutoka Japanese used car kwasababu nimagari yanayopatikana kurahisisha na yanauwezo wakupita sehemu mbslimba za barabara mbovu nimagari ambayo nirahisi kumiliki nayanapstikana kwa urahisi kupitia kwamawakala wake Nchi zote za Afrika. Kuwaelimisha watu waachsne na zana potofu kuawansoweza kumiliki magari ni matajili tu. Kupitia Japanese used car MTU yeyote anauwezo wakumiliki gari analolipenda nakulinga na kipato chake. Kuwaelimisha watu kuwa kupitia Japanese used car unaweza kuagiza gari Kupitia mtandaoni nakulipata likiwa salama. Nakondokana na matapeli ambao wanawapa hofu wanunuzi wa magari kwakuogopa kutapeliwa. Japanese used car wamerahisisha upatikanaji wa magari yenye being tofauti tofauti kulingana na kipato chako.Ninaomba Kupitia shindano hili niwezekupata ushindi kwani Kupitia ushindi huu utanisaidia sana kufanikisha shuguri zangu. Ninapenda sana na Nina hamu sana nitangazwe mshindi wa Japanese used car. Ninayapenda sana magari yenu nimekua nikiyaona kwenye mtandao nakwawatu huku Tanzania na watu weng wanaoyaagiza wabayasifu sana magari kutoka Japanese used car kua nimagari imala yanayokwenda na wakati na nimagari yanayokizi viwango yametengenezwa kisasa na hayana mazara kwa mtumiaji. Watu wanayasifu kua hayachui mazingira yamebuniwa nakutengenezwa kwa ustadi mkubwa sana. Hongera sana CAR FROM JAPAN kwakuweza kusaidia Nchi nyingi za Afrika nakuweza kulitatua tatizo hili, Nimatunaini yangu kwamba miaka ijayo mtafanikiwa kutusaidia kutatua tatizo hili la usafiri, kwani usafiri nimuhimu sana katika kuleta maendeleo ya Nchi. Nitawashawishi watu waweze kununua magari yenu kwasababu yanaubora nzuri nayapo yaaina tofauti tofauti ambayo yanaweza kukurahisishia shuguri zako. Nitawashawishi kununua magari ya Japanese used car kwasababu yanapatikana kwa urahisi na pia spea zake nirahisi kupatika. Nimagari yenye ubora wa hali ys juu sana. Yanauwezo wakutembea umbali mrefu bira shida yoyote. Nimagari yansyosaidia sana , yanasaidia kupunguza changamoto moto ya usafir nakufanya watu kufanya shuguri kwa urahisi , pia yanasaidia kuongeza kipato cha familia kwa wale wanaonunua kwaajili ya kusafirishia watu na mizigo. Kiukweli kuja kwa kampuni ya Japanese used car yatabadikisha maisha ya watu nakufanya watu waondokane na tatizo la usafir. Pia ninaombi ninaomba muweze kuboresha Huduma ziweze kuwafikia hadi watu wavijijini kwani watu wengi wamekua wakiogopa kuagiza magari kwakuofia kutapeliwa , ninapenda sana muweze kusogeza huduma zenu hata mwenye mini midogo kwani watu wamekua wakihangaika sana kwenda kwenda mwenye mini nikubwa kwenda kuagiza magari. Nahii imekua changamoto sana. Kwani watu wamekua wakienda huko wengine wanatapeliwa huko huko.Nimatumaini yangu endapo nitachaguliwa nitawawakilisha vyema katika kutangaza solo la magari kutoka Japanese used car, nakujenga ushirikiano mzui
Nakufanikisha zumuni lenu. Kupitia shindano hili nikiwa mshindi nitawashukuru sana kwakunichagua nakunifanya niipeperushe Bendera ya Tanzania nakujenga ushirikiano mzuri wenye matokeo mazuri yanayo leta mafanikio mafanikio makubwa yenye kuleta maendeleo kwa MTU mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Japanese used car nimeona inasaidia sana watu katika usafiri magari yenu yanaubora mkubwa sana .yametengenezwa kukuangalia mazingira ya watumiaji. Ninayapenda sana na ninapenda niwe mshindi wa Japanese used car. Napingeza sana kampuni hii ya Japanese used car kwakujitolea magari ya bure kabisa kuwazadia watu , na kupitia shindano hili niimani yangu itaimalisha ushikiano mkubwa kati ya kampuni yenu ya Japanese used car na Nchi yangu ya Tanzania. Kupitia kampuni ya Japanese used car italeta matokeo mazuri nakuleta changamoto kubwa nakukabiliana natatizo la usafiri. Napenda kuwapongeza kwakuliona tatizo hili nakukichukua kuwa changamoto nakulibeba kulitafutia ufumbuzi ilikuweza kurahisisha usafiri. Kupitia shindani hili Nimatumaini yangu nitashinda nakuweza kumiliki gari. Pia nitaweza kusaidia watu wenye niayakutakumiliki magari kutoka Japanese used car waweze kuyapata kwa njia urahisi nabila kutapeliwa. . Natoa shukrani zangu za dhati kabisa kutoka Japanese used car kwakutusaidia Nchi za Afrika ilikuweza kukabiliana na changamoto za usafiri ususa nikatik Nchi yangu ya Tanzania kwani Kupitia kampuni yenu italeta maendeleo makubwa sana katika usafiri. Kwan maeneo ya vijijini usafiri bado niwashida haukizi haja za watu. Nitafurahi sana endapo nitachaguliwa kua mshindi wa magari ambayo ummeamua kuyatoa
buree kabisa kwa watu. .kampuni ya CAR FROM JAPAN Iweze kunifanya mshindi wa shindano hili namimi niweze kumiliki gari .Mimi ni mtanzania naipenda lugha yangu kiswahili

Sponsorisé par

CAR FROM JAPAN
  • CAR FROM JAPAN CO., LTD.
  • Toujiki Building 7F, 3-10-7 Iwamotocho, Chiyoda,
  • Tokyo, JAPAN 101-0032

Heures d'ouverture

  • Lundi-Vendredi: 9am-6pm
  • Vacances: Samedi et Dimanche, Vacances Jours fériés japonais

Notre entreprise

Car From Japan est un produit de CAR FROM JAPAN CO., LTD.

Nous vous donnons accès directement et facilement à des milliers de voitures d'occasion japonaises à des prix imbattables.

Des centaines d'exportateurs de voitures japonaises nous font confiance, nous donnant accès à un portfolio inégalé de voitures à prix avantageux. Nous nous occuperons de la paperasse pour vous, nous assurerons que le paiement est sécurisé et que vous obtiendrez ce pour quoi vous avez payé en parfaite condition.

Paiement sécurisé.Aucun coût caché, une tranquillité absolue.

Nous travaillons pour vous - l’acheteur, pas le vendeur. Nous ne débloquons le paiement qu'une fois que la voiture vous a été envoyée. Et nous travaillons extrêmement dur pour nous assurer que la voiture vous est envoyée rapidement et de façon sécurisée. Dans le cas improbable où votre voiture ne vous serait pas envoyée, vous êtes intégralement remboursé.

Une équipe mondiale qui vous donne l'impression de faire du commerce de proximité.

Chez CAR FROM JAPAN, nous sommes très fiers de notre équipe Multi-culturelle. Nous vivons dans des fuseaux horaires différents et parlons des langues différentes. Vous n'aurez aucun problème de communication avec nous - il y aura toujours quelqu'un qui parle votre langue. Et qui vit près de chez vous !

Toutes les marques, tous les modèles, pour tous les budgets. Nous avons de tout, pour tous.

Nous possèdons l'une des plus grande collection de voitures d'occasion japonaises disponible sur Internet. Et nous agrandissons notre portfolio de façon agressive afin de le faire grandir encore plus vite chaque jour. Tout ça à des prix imbattable. Allez sur la page d’accueil pour le voir par vous-même.