Find. Buy. Drive

zaitun rashidy rajabu from Tanzania message

0
zaitun rashidy rajabu from Tanzania message
Rate 5 stars!

Kwa majina naitwa zaitun rashidy rajabu. Samahani sijui English vizuri naomba niandike kiswahili napenda kushiliki zoezi hili la kushinda gari kwani naimani nitaweza kuwasaidia wazazi wanguuu katika usafili waendapo kazini na pia ntafurahi kama nikiwa ni mmoja kati ya washindi tuliomba kushinda katika zawadi hii naimani na ninania ya kushinda na kufurahia zawadi hii nikiwa n mmoja wa watanzania na kuiwakilsha Tanzania katika shindanohili.
Zaitun rashidy rajabu.

Leave A Reply

Your email address will not be published.