Find. Buy. Drive

majaliwa adraphrn from Tanzania message

0
majaliwa adraphrn from Tanzania message
Rate 5 stars!

nina kila sababu ya kutangaza na kutanua wigo wa masoko endapo nitachaguliwa kuwa mshindi wa “Carfrom japan” kulingana na uimara na umadhubuti wa magari. Hivyo sioni kama kuna mahali pengine naweza kupata gari imara linaloendana na uhalisia wa mazingira. Ningependa kupata zawadi hiyo ili watu zaidi walio karibu nami waweze kagiza magari toka japani.

Leave A Reply

Your email address will not be published.