Find. Buy. Drive

Fazah D.Bulengela from Tanzania message

0
Fazah D.Bulengela from Tanzania message
Rate 5 stars!

Salamu
Napenda kwanza kuwapongeza kwa namna ambavyo mmeweza kujali watu wa jinsia zote mataifa yote bila kubagua ama kweli hii inaonyesha wazi mmeiva kimashindano na mko vizuri Kibishara.
Mimi ninastahili niwe mshindi wenu kwa maana nimethubutu kuingia kushindana bila uoga na bila kujali kipato changu, Taifa langu, wala bara langu.Unapoamua kushindana unatakiwa kuwa Jasiri kama mimi usiogope chochote na kufanya hivi hii pina inanipa nafasi ya kutangaza kampuni yenu nchini Tanzania.na nikishinda ni ushindi wa Taifa langu na kuwatangazeni nchi nzima maana nchi nzima na ulimwengu wote watajua kuna mshindi wa shindano la gari za kutoka Japani ameshinda .hii pia ni kuongeza wigo wa kampuni lenu kujulikana ulimwenguni kote.
Hivyo basi kupitia mimi nitajipatia gari zuri toka kwa watengenezaji na wauzaji maarufu duniani nani kuendelea kuwatangaza kupitia ushindi huo.
Kuhusu Gari za japani mimi ninavyojua ndio gari za pekee Duniani kote maana ndio zimeenea ulimwenguni kote kwa Ubora na uzuri.Hivyo nitajivunia bahati hiyo kuipata..Naamini Gari toka Japani maana ndio Baba wa Njia.

Leave A Reply

Your email address will not be published.