Find. Buy. Drive

Baraka Saitoti from Tanzania message

0
Baraka Saitoti from Tanzania message
Rate 5 stars!

Kama nitashinda nitakuwa nimetimiza ndoto yangu ya mda mrefu sana ya kumiliki Gari.
Lakini pia nisipo shinda nitanshukuru Mungu kwa hali zote na nitazidi kuiombea Japanes used car na kuzidi kuyasifia na kwa hali zote……Mwisho Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Japan…
Na magari ya Japan ni magari mazuri sana na nina yapenda kwa sababu ni magari ambayo yapo katika viwango vya kurithisha nani Magari yenye mvuto na yanayo kubalika ulimwenguni kote hakika Japan car used ni mwisho wa matatizo kwa wote wenye uhitaji wa Magari nawashauri msifanye makosa aina yeyote tafuta magari ya Japan used

Leave A Reply

Your email address will not be published.