Find. Buy. Drive

Alphayo Gipsoni Shao from Thailand message

0
Alphayo Gipsoni Shao from Thailand message
Rate 5 stars!

Say something nice! my no to speek to English, my speek to kiswahili!. ila m love car from Japani. Nitafurahi kupata na kumiliki Gari kutoka japani, Gari toka japani zinasifa nzuri, ninapopita naona maduka mengi ya spear za japani na zinapendwa sana. na mimi ningependa kumiliki Gari toka japani!

Endapo nitaweza kupata Maelezo kwa lugha ya kiswahili ni naamini nitaweza kujieleza zaidi.
Ni tumaini langu kuwa, nitapata maelekezo mazuri na kwa lugha ya kiswahili.
by A.G.Shao 0754307382 Moshi Kilimanjaro Tanzania.

Leave A Reply

Your email address will not be published.