• Japanese Used Cars

Salma Keppy Kiombile from Tanzania message

Salma Keppy Kiombile from Tanzania message
Rate 5 stars!

nafaa kuchaguliwa kuwa mshindi sabab kila mwanadam ana mawazo au malengo .maleng yangu mm ni kuwa au kumiiliki gari yangu mwenyewe sababa zifuatazo gari ni chombo ambacho kinarahaisisha maisha kwa binadamu inafanya safar zako kuwa rahisi una uhuru wa kuzunguka sehem ywtotw ile pia kwa sisi wafanyakaz ambao tunadamka asubuh sana kiwah makazin sabab ukichelewa usafir wa shida sana na folen lakin ukiwa na gari yako unaweza kuchelewa kidogo na ukawah ofisin bila shida na mtu yeyot

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Be a vip
Get discounts, save more

We send only useful information