• Japanese Used Cars

mario from Tanzania message

mario from Tanzania message
Rate 5 stars!

Nayapenda magari ya kutoka japani kwa sababu ni imara na mazuri mno. Pia huduma zao za usafirisha ni za kuaminika.kitu kingine ni kwamba hayana gharama kama mengine ni rahisi na hayatumii mafuta mengi kama magari ya kutoka sehem nyingine kama………….. Siwez kuwataja. Kitu kingine ni kwamba yanadum muda mrefu sana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Be a vip
Get discounts, save more

We send only useful information