• Japanese Used Cars

Jonas John Mangare from Tanzania message

Jonas John Mangare from Tanzania message
Rate 5 stars!

Napenda magari ya Japan Sana kwani ni mazuri na spare part zake zinapatikana kwa urahisi na Zipo ulimwenguni kote hivyo nawashaur wenzangu kununua magari ya Japan kwani yana matumizi mazur pia ya mafut.

Me Jonas John from Kilimanjaro Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Be a vip
Get discounts, save more

We send only useful information