Find. Buy. Drive

Grace Mukama from Tanzania message

0
Grace Mukama from Tanzania message
Rate 5 stars!

Magari kutoka Japan ni imara na ni mazuri hayana haja ya repair. Pia watu wengi ninao wafahamu wanapenda kuagiza magari kutoka kampuni ya car from Japan kwanza niwaaminifu pia wanakuletea kitu ambacho unakihitaji bila ya usumbufu wowote ule na hata kama wakichelewa watakuelezea sababu muhimu ya kuchelewa au meli ilichelewa kutoka etc. Pia kikubwa ni waaminifu sio kama kampuni nyengine ninazo zifaahamu. Pia kwenye pakeg yao huwa hawatoi kitu hata kimoja gari yako inakuja kama ulivyoiagiza kule na inakuwa haijatembea sana kilometres ni hizo hizo kikubwa zaidi betri ya gari inakuwa haijachoka sana kwahiyo hapo ndio tofauti kubwa na kampuni nyengine zinazokuwa zinaleta magari maana kampuni nyengine unaweza ukaagiza gari Pale tu unapolipata unakuta betri sio nzima tena kiukweli huleta usumbufu sana ila Car From Japan hawako hivyo kabisa ni super brand naweza kuwaita. Tukija upande wa matairi yaani kama yamefungwa hapo hapo yalivyo imara kiukweli hata ningeambiwa niwe ambassador wa Car from Japan ningekubali kwakuwa wako super sana sana. Na mtu akitaka nimshauri kuhusu kampuni ya kuagiza magari ningemwambia ni Car From Japan tu

Leave A Reply

Your email address will not be published.