Find. Buy. Drive

francis milunga from Tanzania message

0
francis milunga from Tanzania message
Rate 5 stars!

Car from japan Nawezakuchaguliwa kuwa mshindi kwasababu nimefanikiwa na ninaendelea kutangaza soko la magari kutoka japan ili watu wapate kujua gari kutoka japan zinasifa gani na uimara upi,pia na jaribu kuwaasa kwamba waendelee kununua gari kutoka japan kwa sababu spea zake ni laisi kupatikana tena kwa bei nafuu .
Ningependa kuwafahamisha watu kwamba gari kutoka japan ni imara,nzuri na spea zake zinapatikana maeneo yote tena kwa bei nafuu

Leave A Reply

Your email address will not be published.