• Japanese Used Cars

John J. Msangi from Tanzania message

John J. Msangi from Tanzania message
Rate 5 stars!

Napenda gari kutoka Japan, ni gari ngumu na imara ambazo humudu mazingira ya afrika kwa asilimia kubwa nirafiki na hali ya hewa na mazingira ya kiafrika hurahisisha safari za hapa na pale, kizuri zaidi hakuna hata mmoja alieagiza gari toka Japan akalalamika kuhusu gari aliyoagiza hususa kkuhusu vitu vilivyo ndani ya gari masalani radio na vitu vingine ambavyo hutolewa kiurahisi kwenye gari katika hili waagizaji wa magari toka Japani wako vizuri katika uagizaji maana wanakuletea gari ulipendalo kwa wakati na lililokamilika likiwa na kilakitu ulichokitegemea. Gari huongeza heshima mjini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Be a vip
Get discounts, save more

We send only useful information