Find. Buy. Drive

frank cyril okido from Tanzania message

0
frank cyril okido from Tanzania message
Rate 5 stars!

Nimefurahi sana kuona hili shindano lenu,kwanza ni njia nzuri kwenu kujitangaza zaidi na kuongeza wigo mkubwa wa kupata wateja wengi zaidi kupitia bahati na sibu yenu. Pili mmetoa nafasi kwetu kutimiza ndoto zetu kumiliki gari kupitia Car from Japan,ni jambo jema kwasababu mnarudisha faida yenu kwa wateja wenu,inaonyesha ni jinsi gani mnajali wateja wenu na kutuhamasisha hata sisi kuwa wateja wenu wapya na kuwa na familia kubwa zaidi Duniani.
Nchini kwetu Tanzania zaidi ya asilimia 80 tunatumia magari toka Japan,tena wengi wakitumia Japanese used car,kwasababu ni za gharama ambazo wengi wanaweza mudu,pili ni rahisi kuzihudumia kwa maana ya matengenezo pindi ninapotokea hitilafu yeyote.
Mimi ni mtu sahihi kwenu kuwa Balozi wenu kwasababu nimekuwa muhamasishaji mzuri wa hili shindano lenu,pili nikipata zawadi hii,nitazidi watanga zaidi,na sasa nipo mbioni kufungua Law Firm yetu ambayo tutakuwa watumia wa Japanese used car,hata pale mtaji wetu ukikuwa tutakuwa mabalozzi wenu kwa kuanzisha biashara ya kuuza magari katika mko wetu wa Dodoma na sasa unaenda kuwa moja ya mikoa itakayokuwa na mzunguko mzuri wa pesa,kwasababu Serikali yetu ya Tanzania imeamua kuhamia Dodoma basi tutaenda kufanya biashara nzuri kwa ushirikaono na nyinyi Car from Japan.
nawashukuru sana na kuwapongeza kwa kuja na wazo uri sana,na moja kwa moja mmetupa nafasi ya kuwa Mabaloi wenu wazuri ndani na nje ya nchi zetu.Asanteni sana kwa kutupa nafasi ya kuwa mabalozi wenu na kupitia fursa hii mmeweza kuamsha ndoto nyingi a watu wa rika zote na kuongeza chachu aidi kuwa kila jambo linawezekana.
Mimi naamini nakwenda kujishindia gari ya ndoto yangu ambayo itanisaidi kurahisisha shughuli zangu.

Leave A Reply

Your email address will not be published.